
Karibu Echu Academy!
Mahali ambapo utapata nafasi ya kujifunza na kupata maarifa yatakayokusaidia kutengeneza muunganiko sahihi kati ya elimu ya darasani na elimu ya maisha ili uweze kufanikiwa, kuna utofauti kati ya ukweli na uhalisia katika maisha, Ni kweli kwamba unahitaji elimu ya darasani ili kujiboresha lakini ni uhalisia kuwa bila elimu ya maisha hauwezi kufanikiwa.
Ndani ya kozi hii utajifunza mambo ya muhimu kutambua pale utakapo fikiria kuanza kufanya biashara kupitia mtandao ama kuikuza biashara yako, ndani ya kozi hii kuna mchanganyiko wa elimu zote ili kukupa matokeo chanya kwenye maisha yako.
Mada utakazosoma ndani ya kozi hii ni pamoja na :-
Kupitia masomo haya utaweza kabisa
Nikukaribishe Echu Academy, maarifa ni ufunguo wa mafanikio.