
π₯ KUTANA NA MWONGOZO SAHIHI WA MULTIMETER KWA MAFUNDI SIMU! π₯
Je, umechoka kukisia uharibifu kwenye bodi za simu na kuishia kuharibu IC za wateja bure? Multimeter ndio "jicho" lako la siri kama unataka kufanya ufundi wa kiwango cha Chip-Level kitaalamu!
Kitabu hiki kimeandaliwa na Emobile Fix Tanzania mahususi kabisa kwa ajili ya mafundi simu wanaotaka kurahisisha kazi zao na kuongeza kipato kwa kufanya matengenezo yenye uhakika.
π― UTANACHOJIFUNZA NDANI YA MWONGOZO HUU:
1. Sehemu kuu mbili zinazotumiwa zaidi na mafundi simu kwenye Multimeter na jinsi ya kuzitumia bila kukosea.
2. Jinsi ya kutafuta "Short Circuit" (Shorting) kwenye bodi hatua kwa hatua kwa kutumia udhibiti wa Capacitor (Sheria ya Dhahabu).
3. Kupima njia ya chaji (Voltage Testing) na kujua kama tatizo lipo kwenye Flex ya chaji au kwenye Charging IC.
4. Mbinu ya Dhahabu ya kutengeneza Ramani yako ya Siri ya bodi (Diode Values/Secret Schematic) ili ikusaidie baadae.
Huu sio mwongozo wa nadharia ndefu, ni hatua kwa hatua za vitendo (Practical & Straight to the point).
π Jipatie nakala yako sasa kwa TZS 5,000 tu, uachane na ufundi wa kubahatisha! Bonyeza kitufe cha "Buy Now" kupata kitabu cha ko sasa hivi. Whatsapp +255750593903