
Mahusiano ni uti wa mgongo wa maisha yetu hapa duniani, kuishi na kufa kwako ni katikati ya kipindi cha kuhusiana kwako
Mahusiano yana matawi mengi sana katika uelewa wake, lakini katika kitabu hiki nimeongelea zaidi mahusiano yenye upendo ndani yake
Yapo mambo mengi ya kujifunza kuhusu mahusiano.
na nyingine nyingi, ikiwa unahitaji kuboresha ama kuanzisha mahusiano basi unahitaji kukisoma kitabu hiki.