
Kozi hii ni maalum kwa ajili ya kujifunza tabia za kifedha ambazo ni muhimu sana kuzifahamu kuelekea kwenye uhuru wa kifedha.
Ili uweze kufanikiwa unahitaji kuwa na uelewa mzuri kuhusiana na fedha na kuna baadhi ya tabia unatakiwa kuziacha na nyingine kujifunza.
hapa nimekuweke tabia 3 za muhimu zaidi kuwa nazo, wewe na kizazi chako kwa ujumla.