MCHANGANUO WA KIWANDA CHA MVINYO NA JUISI YA ROSELLA (Choya Investment Co. ltd)
Downloadable

MCHANGANUO WA KIWANDA CHA MVINYO NA JUISI YA ROSELLA (Choya Investment Co. ltd)

1
TSh10,000.00

MUHTASARI


Kampuni ya kutengeneza mvinyo wa Rosella ya Choya Investment Company imeasisiwa na Bibi Ester Mroso na Bwana James Msae. Dhamira yake kubwa ni kutengeneza mvinyo wenye ladha ya kipekee na afya kwa wateja wake pamoja na kuwapatia kipato cha uhakika wamiliki wake.


Malengo ya muda mrefu ni kuongeza uzalishaji kwa asilimia 100% kila mwaka ndani ya kipindi chote cha miaka 3, kuzalisha bidhaa za aina nyingine kama juisi ya rosella na mvinyo wa nanasi, pamoja na kununua vifaa vya kisasa vya uzalishaji yakiwemo magari 2 ya kusafirishia bidhaa.

Makao makuu ya kampuni yatakuwa katika jiji la Dar es salaa mtaa wa Ilala Sharif Shamba. ………………......................


Mchanganuo kamili wenye vipengele vyote kuanzia Muhtasari mpaka makisio ya ripoti zote muhimu za fedha unaupata hapahapa kwa malipo kidogo


Unaweza kulipia kupitia mtandao wako wowote unaotumia na kisha kupakua mchanganuo wako sasa hivi bila kusubiri


Bofya neno BUY NOW kufanya malipo

Frequently bought together

© 2026 Peter Augustino Tarimo. All Rights Reserved.

Powered By