Masterclass hii ina audio 5 za kina (dakika 30 hadi lisaa kila moja) ni kwa mwanamke anayetaka kujijua, kujiamini, kuweka boundaries, kuwa respecte na kuishi kwenye nguvu yake ya kike.
Kama umechoka ku-overgive, kudharauliwa, kujishusha au kupoteza sauti yako — masterclass hii ni kwa ajili yako.
Ndani yake utajifunza:
Feminine authority ni nini na kwa nini ni muhimu
Jinsi ya kujiweka first bila guilt
Boundaries zinazoheshimiwa
Kuwa calm, confident & magnetic
Jinsi ya kuheshimiwa kwenye mahusiano na maisha
Kuacha people pleasing na kujiamini zaidi
Utapata access ya audio lessons zote mara moja baada ya malipo.
Rahisi kusikiliza popote ulipo.