Jinsi ya Kulinda Usalama wako Mtandaoni
Downloadable

Jinsi ya Kulinda Usalama wako Mtandaoni

(1 Ratings)
1
$3.00$5

Mwaandishi wa kitabu: Mohamed Sinani

Mundo wa Kitabu: PDF

Lugha: Kiswahili


MAELEZO

kitabu hiki ni cha Kiswahili kinachokupa mwongozo wa kina kuhusu jinsi ya kujilinda na kudumisha usalama wako mtandaoni Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, ambapo kuna vitisho vya mtandao vinaongezeka kila siku, kitabu hiki ni mwongozo muhimu kwa watu wa kila rika. Kitabu hiki kinaeleza kwa undani mada kama:


  • Jinsi ya kutambua tovuti hatari na kudhibiti unavyoshiriki taarifa zako binafsi.
  • Njia za kulinda akaunti zako kupitia nywila imara na uthibitisho wa hatua mbili.
  • Tahadhari dhidi ya mashambulizi ya 'phishing' na 'malware'.
  • Masomo ya kihistoria kutoka kwa matukio maarufu ya uvunjaji wa usalama kama vile shambulizi la Sony PlayStation Network na wizi wa taarifa za Cambridge Analytica.


Pia mbinu mbalimbali za vitendo za kujilinda wewe na familia yako dhidi ya wahalifu wa mtandao. Kila sura imeandikwa kwa lugha rahisi na mifano ya maisha halisi ili kuhakikisha wasomaji wanaelewa na kutumia maarifa haya kwa ufanisi. Hili ni hitaji la msingi kwa wanafunzi, wafanyabiashara, na yeyote anayetumia mtandao wa intaneti kwa shughuli za kila siku.


Frequently bought together

© 2026 Kapancha Creatives. All Rights Reserved.

Powered By