
Jinsi ya Kuandika, Ku-design na Kuuza Ebook Inayokuingizia Pesa
Je, una maarifa, uzoefu au idea lakini hujui jinsi ya kuyageuza kuwa chanzo cha kipato mtandaoni?
EBOOK TRAINING hii imeandaliwa mahsusi kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kuandika ebook, kuipamba kitaalamu na kuanza kuiuza hata kama wewe ni beginner kabisa.
Utajifunza Nini Ndani ya Mafunzo Haya?
✅ Jinsi ya kuchagua topic inayouza
✅ Muundo wa ebook inayovutia na kuuza
✅ Kuandika ebook kwa kutumia Word au Canva
✅ Ku-design ebook iwe ya kitaalamu
✅ Jinsi ya kuhamisha ebook kutoka Word kwenda Canva
✅ Kuweka ebook kwenye platform za mauzo (kama Selar & WhatsApp)
✅ Jinsi ya kupanga bei na kutoa offers
✅ Njia rahisi za kuipromote ebook yako kupitia mitandao ya kijamii
✅ Kuanzia mauzo ya kwanza hadi kujenga kipato endelevu
Muundo wa Mafunzo
📘 Day 1: Idea & Topic ya Ebook
📘 Day 2: Kuandika Ebook Inayouza
📘 Day 3: Ku-design Ebook Kitaalamu
📘 Day 4: Kuandaa Ebook Kuuza
📘 Day 5: Kuuza na Ku-promote Ebook
Mafunzo Haya Ni Kwa Ajili ya Nani?
✔️ Beginners wanaotaka kuanza online business
✔️ Content creators
✔️ Coaches & trainers
✔️ Wajasiriamali wa kidigitali
✔️ Mtu yeyote anayetaka kuuza maarifa yake mtandaoni
Faida Kubwa
✨ Hakuna gharama kubwa za kuanza
✨ Unaweza kufanya popote ulipo
✨ Ebook ni product inayouza mara nyingi bila uchovu
✨ Unaweza kuanza leo na kuuza leo
📌 Anza safari yako ya kuingiza kipato kwa kuuza maarifa yako.
👉 Jiunge na EBOOK TRAINING leo na anza kujenga digital income yako.