
Unahitaji zaidi ya mazungumzo ya haraka — unataka kukaa chini na Lisma, ana kwa ana, kupitia biashara yako kwa kina? Masaa mawili ya physical session, ambapo tunapitia changamoto zako zote muhimu — bei, wafanyakazi, mauzo, mkakati — na kutengeneza mpango kamili wa hatua za kufuata.
Baada ya malipo, utaelekezwa kuchagua muda unaokufaa. Chagua “2 hr” wakati wa kubook.