E-book title volume up
Downloadable

E-book title volume up

(0 Ratings)
1
$3.00

Volume Up – Jenga Sauti Yako, Jiamini, Shirikiana na Fanikisha

Ni zaidi ya kitabu – ni mwaliko wa kuinua sauti yako ndani ya kazi, biashara, jamii na maisha yako binafsi. Katika dunia yenye kelele nyingi, sauti yako ya kweli inaweza kupotea kama hujajifunza kuisimamia.


Kitabu hiki kitakusaidia:

✅ Kujiamini na kujieleza kwa uthubutu

✅ Kujenga ushirikiano wenye tija

✅ Kufanya kazi kwa ufanisi na kuongeza thamani

✅ Kubadilisha mindset yako kuwa ya ushindi

✅ Kuwa na motisha ya kudumu kila siku


Sauti yako ni silaha. Usikubali ibaki kimya.

🚀 Volume Up ni hatua ya kuamka na kusikika kwa nguvu mpya!

Frequently bought together

© 2026 Iddi Mkambala. All Rights Reserved.

Powered By