
📌 Maelezo ya Bidhaa (Description)
🔹 Jina la Bidhaa: Jinsi ya Kuuza Bidhaa Zako kwa Kutumia WhatsApp
🔹 Muundo: Kitabu cha kidijitali (PDF)
🔹 Lugha: Kiswahili
🔹 Mwandishi: Mohamed Sinani
Unataka kuongeza mauzo yako bila kutumia gharama kubwa kwenye matangazo? Kitabu hiki ni mwongozo kamili wa jinsi ya kutumia WhatsApp kuuza bidhaa zako kwa ufanisi, kuvutia wateja wengi, na kukuza biashara yako bila kikomo!
Kitabu hiki kitakufundisha:
YALIYOMO NDANI

🎯 Kwa Nani Kitabu Hiki?
✔ Wafanyabiashara wa mtandaoni
✔ Wanaotaka kutumia WhatsApp kuongeza mauzo yao
✔ Wanaotafuta njia za kupata wateja wa kudumu
✔ Wanaopenda kuuza bila kutumia pesa nyingi kwenye matangazo
👉 Gusa Neno Buy Now au Nunua sasa na anza kuuza kwa WhatsApp kama mtaalamu!! na Utanishukuru Baadae