
Ktika ebook hii unaenda kujifunza
· Mifereji Ya Kipato Unayopaswa Kuwa Nayo
· Kwa Nini Unahitaji Kuwa na vyanzo vingi vya kipato
· Sifa ya vyanzo vingi vya kipato
· Ni vyanzo kiasi gani unapaswa kuwa navyo?
· Vyanzo 4-7
· Mfumuko wa bei na vyanzo vya kipato
· Jinsi ya kuingiza pesa hata kama umelala
· Chanzo ambacho kinakulipa kila siku
· Vyanzo kumi unavyoweza kuanza navyo sasa