MWONGOZO: Boot Modes & ISP Pinout kwa Mafundi Simu (Jinsi ya Kuingiza EDL & Kuflash kwa Box)
Downloadable

MWONGOZO: Boot Modes & ISP Pinout kwa Mafundi Simu (Jinsi ya Kuingiza EDL & Kuflash kwa Box)

1
$3.80$7.6

JE, UNATAKA KUWA MAESTRO WA SOFTWARE NA KUFUFUA SIMU ZILIZOKUFA (DEAD BOOT)? 🛠️📱


​Kama wewe ni fundi simu na bado unakutana na simu zenye ulinzi mkali

(kama Qualcomm au MediaTek mpya) au simu ambazo haziwaki kabisa na hujui jinsi ya kuzilazimisha kuwasiliana na Flashing Box/Tool yako, huu ndio mwongozo unaokosekana kwenye meza yako ya ufundi!


​Mwongozo huu wa Boot Modes & ISP Pinout umesheheni mbinu za siri za kitaalamu zitakazokusaidia "kuchoma processor" (kulazimisha mawasiliano) kwa usalama na kwa haraka sana.


​🔥 FAIDA UTAKAZOPATA UKIWA NA KITABU HIKI:


​Ujuzi wa Juu wa EDL Mode (9008): Utajifunza njia 3 tofauti za kuingiza simu kwenye Emergency Download Mode (kupitia Button, Test Points, au Kebo maalum kama FlyFuns) bila kuharibu simu.


​Kuelewa ISP Pinout kwa Usahihi: Hutogopa tena kufungua simu na kuunganisha nyaya za DAT0, CMD, CLK, VCC, na GND. Utajifunza jinsi ya kusoma storage moja kwa moja kupitia Flashing Box (EasyJtag, UFI, Medusa n.k).


​Mbinu za Kufufua Simu Zilizokufa (Dead Boot): Jinsi ya kuandika (write) firmware mpya moja kwa moja kwenye processor simu inapogoma kuwaka kawaida au kuingia recovery mode.


​Kuongeza Kipato Chako: Kupitia mwongozo huu, utaacha kurudisha wateja nyuma! Utaweza kupokea simu zote ngumu zilizoshindikana kwenye maduka mengine na utengeneze pesa zaidi.


​Kazi za Uhakika na Salama: Jifunze tahadhari zote za kuchukua ili usije ukaunguza processor au storage chip ya mteja kwa joto la pasi au mchanganyiko wa nyaya.


​📋 NDANI YA MWONGOZO HUU KUNA NINI?


​Sura ya 1: Dhana nzima ya EDL Mode, BROM Mode, na Odin Mode.


​Sura ya 2: Hatua kwa hatua jinsi ya kutumia Hardware Keys na Test Points.


​Sura ya 3: Siri ya kutumia Kebo Maalum (EDL Deep Flash Cables).


​Sura ya 4: Mwongozo kamili wa ISP Pinout na majina ya pointi zote muhimu.


​Sura ya 5: Hatua kwa hatua za kuflash kwa kutumia Flashing Tools (UnlockTool n.k).


​💰 OFFA MAALUM YA LEO:

Badala ya kuharibu simu za wateja au kukosa maelfu ya pesa kwa kukataa kazi ngumu, wekeza kiasi kidogo sana leo kupata ujuzi huu utakaodumu nao maisha yako yote ya ufundi!


​Bofya button ya "Buy Now" hapo juu kupata nakala yako ya PDF sasa hivi na uanze kupiga kazi kama Maste r Technician! 🚀 Ukishindwa kwenye maripo tutafute +255750593903

Frequently bought together

© 2026 Emobile Fix Tanzania. All Rights Reserved.

Powered By