Je, umechoka kujisahau, kujitelekeza, kujitupa mwenyewe huku ukiwahudumia wengine, unajitoa, unawafurahisha na kuwapa wengine kila kitu?
Rudi Kwako kwanza ni mwongozo wa bure wa siku 5 uliotengenezwa kukusaidia kurudisha uhusiano wako na nafsi yako, kujenga self-trust na kuanza kuishi kwa utaratibu bila kujitelekeza.
Ndani ya mwongozo huu utajifunza:
♡ Kutambua mahali unapojiacha nyuma.
♡ Kuungana tena na mwili na hisia zako.
♡ Kuweka mipaka sahihi.
♡ Kupokea bila kujisikia hatia au kama unadaiwa.
♡ Kujenga mazoea madogo ya kurudi kwako mwenyewe kila siku.
ni bure kabisa , Pia unaweza kutuma neno ''connect' kwenda +255765669577 whatsApp ili kuwa wa kwanza kupata taarifa zingine zaidi., Na kama unahitaji Swahili version tuma text whatsApp utatumiwa Guide yako kwa lugha ya kiswahili.
Huu ni mwanzo wa safari yako ya kujitambua, kujiheshimu na kuishi katika feminine energy yako.