UONGOZI BORA SHULENI
Downloadable

UONGOZI BORA SHULENI

(0 Ratings)
1
TSh6,500.00TSh75,000

Uongozi wa shule ni msingi wa mafanikio katika elimu. Bila uongozithabiti, hata rasilimali nyingi haziwezi kuleta matokeo bora. Kiongozi mzuri wa shule anahitaji kuelewa wale anaowaongoza, kusimamia dira ya shule, na kushirikiana na jamii kwa ajili yamaendeleo.


Kitabu hiki kinachambua kwa kina mambo 12 muhimu ambayoyanaweza kumsaidia kiongozi wa shule kuwa bora zaidi. Mambohaya yameandikwa kwa lugha rahisi, yakilenga kutoa maarifaambayo yanatumika moja kwa moja katika mazingira ya shule. Aidha, ushuhuda kutoka kwa walimu na wakuu wa shuleumetumiwa kuonesha changamoto na mafanikio halisi.


Kwa msomaji, iwe wewe ni mwanafunzi wa elimu, Mwl, mkuu washule au mzazi, utajifunza mbinu halisi za kuboresha shule yakokupitia uongozi bora. Hiki si kitabu cha kusoma tu, bali nimwongozo wa vitendo kwa wale wanaoamini katika uongozi borakwa maendeleo ya elimmu

Frequently bought together

© 2026 Daniel Ndisa. All Rights Reserved.

Powered By