
Buttercream Mastery ni kitabu bora kitakachokupatia ujuzi mkubwa zaidi wa jinsi ya kupamba keki kwa kutumia butter ambayo ndo njia nyepesi na pendwa duniani.
Kitabu kinawafaa watu wa aina zote nikimaanisha kwa wale ambao wanataka kujifunza kupamba keki au kwa wale wanaotaka kuendeleza na kuongeza ujuzi zaidi.
Uzuri wa kitabu hichi kimeelezwa kwa lugha nyepesi ya kiswahili kikiwa na msaada wa picha ili kumpatia msomaji uelewa zaidi.
Kitabu ni PDF ambacho ni rahisi kumfikia muhitaji. Unatumiwa Whatsapp.
Faida ya kitabu hichi
• Lugha rahisi ya kiswahili
• Maelezo yameelezewa kwa msaada wa picha ili kuumpa uhalisia msomaji
• Kitakufunza A-Z upambaji wa keki na mahitaji yote
• Siri na mbinu mbalimbali katika kufanikisha upambaji kama Pro!