Baada ya kukagua na kuchagua kitabu unachokihitaji gusa neno View Details au gusa picha ili kusoma maelezo zaidi. Na baadae gusa neno Gusa kununua.
Itafunguka tab ya Checkout hakikisha kiasi cha fedha au kitabu/vitabu unavyotaka kununua kabla ya kuendelea mbele. Kama utahitaji kitabu zaidi ya kimoja rudi na gusa kitabu kingine unachohitaji kitakua automatically kimejiongeza kwenye Checkout pamoja na jumla ya bei.
Baada ya Checkout itafunguka tab ya Contact information. Hii ni sehemu unayotakiwa kujaza taarifa zako bila kukosea ambazo ni Jina lako, Email na namba zako za simu. Hakikisha kwenye Total kama ni kiwango sahihi cha fedha unayotaka kulipia. Baada ya kuwa umekamilisha taarifa zote na kuhakiki gusa neno Pay now kuendelea.
Itafunguka tab ya Mobile money ambayo inakutaka uchague mtandao(Choose network) unaotaka kutumia kulipia mfano Halopesa, Vodacom, Airtel au Tigo. Baada ya kuchagua weka namba yako ya simu unayotaka kutumia kulipia huduma hakikisha unapoandika namba anza na "255" na kisha endelea.. mfano 2557××××××.
Gusa Pay now na utaletewa ujumbe wa kudhibitisha malipo kwenye namba yako uliyochagua kulipia. Baada ya malipo utapelekwa kwenye ukurasa wa kudownload kitabu chako. Enjoy!
