
Kitabu chenye mafunzo na recipes mbalimbali kwa ajili ya biashara au homemade.
Kwenye kitabu hiki utajifunza:
● Kupika Chocolate cake
● Kupika Vanilla cake
● Kupika Carrot cake
● Kupika Coconut cake
● Kupika red velvet cake
● Kupika cookies na cream cake
● Kupika Christmas fruit cake