MAFUNZO YA KUPIKA KEKI & RECIPES (FIRST EDITION)
Downloadable

MAFUNZO YA KUPIKA KEKI & RECIPES (FIRST EDITION)

1
TSh9,999.00TSh15,000

Kitabu maalumu kwa kukufunza jinsi ya kupika keki na recipes zake hatua kwa hatua.


Utajifunza mambo yafuatayo;

● Kupika Yogurt cake

● Kupika Vanilla cake

● Kupika Chocolate keki

● Kupika lemon cake

● Kupika Red velvet

● Kupika Marble cake

● Kupika keki kwa kutumia jiko la mkaa

● Kazi na vifaa mbalimbali vya keki

● Siri za mapishi

Frequently bought together